Agrigento
From Wikipedia, the free encyclopedia
Agrigento ni mji wa mkoa wa Sicilia, Italia visiwani wenye wakazi 58,956 (2018).
Mahekalu ya Kigiriki yaliyoko bondeni yameorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.