Albrecht DürerFrom Wikipedia, the free encyclopedia Albrecht Dürer (21 Mei 1471 - 6 Aprili 1528) alikuwa mchoraji na mkata nakhshi] Mjerumani. Alifahamika pia kama mtaalamu wa hisabati, hasa jiometria. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko katika Ulaya ya kaskazini. Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498
Albrecht Dürer (21 Mei 1471 - 6 Aprili 1528) alikuwa mchoraji na mkata nakhshi] Mjerumani. Alifahamika pia kama mtaalamu wa hisabati, hasa jiometria. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko katika Ulaya ya kaskazini. Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498