Baden-Württemberg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Baden-Württemberg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 10.7 kwenye eneo la 35 752 km². Mji mkuu ni Stuttgart. Waziri mkuu ni Winfried Kretschmann (B90/Die Grünen). Jimbo liko katika kusini magharibi ya nchi likipakana na Ufaransa na Uswisi.