![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Besancon_boucle_Doubs.jpg/640px-Besancon_boucle_Doubs.jpg&w=640&q=50)
Besançon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Besançon ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Franche-Comté.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Besançon | |||
| |||
Mahali pa mji wa Besançon katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 47°14′35″N 6°01′19″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Franche-Comté | ||
Wilaya | Doubs | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 117,080 | ||
Tovuti: www.besancon.fr |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Besancon_boucle_Doubs.jpg/640px-Besancon_boucle_Doubs.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/28/Blason_ville_fr_Besan%C3%A7on_%28Doubs%29.svg/60px-Blason_ville_fr_Besan%C3%A7on_%28Doubs%29.svg.png)
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 222,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 235-610 kutoka juu ya usawa wa bahari.