BiasharaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Biashara (kutoka neno la Kiarabu) ni shughuli au mchakato wa kununua na kuuza mali au vitu. Inaweza kufanywa na mtu binafsi au kwa ushirikiano au na jamii au nchi kwa jumla. Mwanamume akiuza biskuti.
Biashara (kutoka neno la Kiarabu) ni shughuli au mchakato wa kununua na kuuza mali au vitu. Inaweza kufanywa na mtu binafsi au kwa ushirikiano au na jamii au nchi kwa jumla. Mwanamume akiuza biskuti.