Bilbao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bilbao (kwa Kieuskara: Bilbo) ni mji wa Hispania kaskazini, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Nchi ya Kieuskara.
Tarehe 1 Januari 2015 wakazi wake walikuwa 345,141, lakini rundiko la mji lina watu 1,037,847.