Cherry Jones
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cherry Jones (amezaliwa tar. 21 Novemba 1956) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika kwa kucheza kwake kama Rais wa Marekani (Allison Taylor), katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Tuzo alizoshinda ...
Cherry Jones | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Cherry Jones, mnamo 2009 | |||||||
Amezaliwa | 21 Novemba 1956 (1956-11-21) (umri 67) Paris, Tennessee, Marekani | ||||||
|
Funga