Go-Mizunoo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Go-Mizunoo (29 Juni 1596 ā 11 Septemba 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masahito. Mwaka wa 1611 alimfuata Go-Yozei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 22 Desemba 1629. Aliyemfuata ni binti wake, Meisho.