Huanggang, Hubei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Huanggang (kwa Kichina: 黄冈) ni mji wa China katika mkoa wa Hubei.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Huanggang | |
Huanggang | |
Majiranukta: 30°27′00″N 114°48′00″E | |
Nchi | China |
---|---|
Jimbo | Hubei |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 7,227,000 |
Tovuti: http://www.hg.gov.cn/ |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, kuna wakazi wapatao milioni 7.27 wanaoishi katika mji huu.