Jua Cali
msanii wa hip hop Kenya / From Wikipedia, the free encyclopedia
Jua Cali (jina lake kamili ni Paul Julius Nunda; alizaliwa Nairobi, Kenya, 12 Septemba 1979) ni mwanamuziki wa Kenya. Jua Cali ni msanii wa nyimbo za Kiswahili akitumia mtindo wa kufululiza maneno ujulikanao kama genge.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Amezaliwa ...
Jua Cali | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | Septemba 12 1979 (1979-09-12) (umri 44) |
Asili yake | Nairobi , Kenya |
Aina ya muziki | Mwanamuziki |
Kazi yake | C E O , Mwanamuziki |
Aina ya sauti | "Tenor" |
Miaka ya kazi | 1998–mpaka sasa |
Studio | Calif Records |
Tovuti | http://www.juacali.co.ke |
Funga
Katika mwaka 2000 yeye pamoja na Clement Rapudo (Clemo) walianzisha Calif Records ambapo Jua Cali amefanya kazi hadi sasa.