Kagoshima, Kagoshima
mji wa Japan, mji mkuu wa Mkoa wa Kagoshima / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kagoshima (鹿児島市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kagoshima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 600,000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Kagoshima | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kyushu | ||
Mkoa | Kagoshima | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 604 712 | ||
Tovuti: www.city.kagoshima.lg.jp |
Funga