Karinthia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Karinthia (kwa Kijerumani: Kärnten, kwa Kislovenia: Koroška, kwa Kikroatia: Koruška) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la km² 9.364.
Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Peter Kaiser (SPÖ).