Khartoum
From Wikipedia, the free encyclopedia
Khartoum (الخرطوم al-Khartūm) ni mji mkuu wa Sudan na pia mki mkuu wa dola la shirikisho la Khartoum. Mji uko mahali mito ya Nile nyeupe na Nile ya buluu inapokutana. Kisheria "Khartoum" ni eneo tu mashariki ya Nile nyeupe na kusini ya Nile ya buluu lakini hali halisi Khartoum pamoja na miji ya Omdurman na Bahri ni kama mji mmoja mkubwa sana unaounganishwa kwa madaraja kadhaa.
Ukweli wa haraka Nchi, Majimbo ...
Jiji la Khartoum | |
Mahali pa mji wa Khartoum katika Sudan |
|
Majiranukta: 15°35′35″N 32°32′8″E | |
Nchi | Sudan |
---|---|
Majimbo | Khartoum |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2 090 001 |
Funga