KodiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kodi (kutoka neno la Kihindi) ina maana mbili: ushuru unaodaiwa na serikali ya nchi (kwa Kiingereza: tax) na pango yaani pesa anazotozwa mtu anapopangishwa nyumba au ardhi (kwa Kiingereza: rent au lease).
Kodi (kutoka neno la Kihindi) ina maana mbili: ushuru unaodaiwa na serikali ya nchi (kwa Kiingereza: tax) na pango yaani pesa anazotozwa mtu anapopangishwa nyumba au ardhi (kwa Kiingereza: rent au lease).