Los Angeles Lakers
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Los Angeles Lakers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Los Angeles, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Lebron James, Anthony Davis, DeMarcus Cousins.