Mark Eyskens
From Wikipedia, the free encyclopedia
Marc Maria Frans Eyskens (amezaliwa 29 Aprili 1933) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia 6 Aprili hadi 17 Desemba 1981. Miaka ya 1989 hadi 1992 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Yeye ni mwana wa Waziri Mkuu Gaston Eyskens.