Matsue, Shimane
From Wikipedia, the free encyclopedia
Matsue (松江市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Shimane. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 190 000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Matsue | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Chūgoku | ||
Mkoa | Shimane | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 194,413 | ||
Tovuti: www.city.matsue.shimane.jp |
Funga