Mkoa wa KagawaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kagawa (香川県) ni mkoa wa Japani. Mji mkuu ni Takamatsu (高松市). Mahali pa Kagawa katika Japani