Mkoa wa Rize
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rize ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi kati ya Trabzon na Artvin. Mji mkuu wake ni Rize.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Rize nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Rize | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Rize nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 3,920 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 361,353 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 53 |
Kodi ya eneo: | 0464 |
Tovuti ya Gavana | http://www.rize.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/rize |
Funga