Panama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Panama ni nchi ya mwisho kusini mwa Amerika ya Kati. Shingo ya nchi ya Panama hutazamwa kuwa mpaka kati ya bara la Amerika ya Kaskazini na lile la Amerika ya Kusini.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Latin: Pro Mundi Beneficio (Kilatini: Kwa salama ya dunia) | |||||
Wimbo wa taifa: Himno Istmeño (Wimbo la shingo la nchi) | |||||
Mji mkuu | Panama 8°58′ N 79°32′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Panama | ||||
Lugha rasmi | Kihispania (rasmi), Kiingereza na lugha za kieneyeji kwenye pwani la Karibi | ||||
Serikali Rais |
demokrasia Juan Carlos Varela | ||||
Uhuru kutoka Hispania Kolombia |
28 Novemba 1821 3 Novemba 1903 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
75,517 km² (ya 118) 2.9 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - Mei 2000 sensa - Msongamano wa watu |
3,608,431 (ya 133) 2,839,177 54.2/km² (ya 156) | ||||
Fedha | Balboa (PAB ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC-5) | ||||
Intaneti TLD | .pa | ||||
Kodi ya simu | +507
- |
Funga
Imepakana na Kosta Rika na Kolombia; pwani ya Bahari ya Karibi iko upande wa kaskazini na pwani ya Pasifiki upande wa kusini.
Nchi iko kwenye sehemu nyembamba kabisa ya Amerika ya Kati.
Mfereji wa Panama hukata shingo la nchi na kufanya jina la Panama kujulikana kote duniani.