Paris
mji mkuu wa Ufaransa / From Wikipedia, the free encyclopedia
Paris (kwa Kifaransa: [paʁi] (info)) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa Ufaransa ukiwa na wakazi 2,140,526 mwanzoni mwa mwaka 2019.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Paris | |||
| |||
Mahali pa mji wa Paris katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 48°51′24″N 2°21′3″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Île-de-France | ||
Wilaya | Paris | ||
Idadi ya wakazi (2019) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,140,526 | ||
Tovuti: http://www.paris.fr/ |
Funga