Robert Woodrow Wilson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Robert Woodrow Wilson (amezaliwa 10 Januari 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Arno Penzias na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.