Rockstar GamesFrom Wikipedia, the free encyclopedia Rockstar Games, Inc ni kampuni ya Marekani inayojishughulisha na uchapishaji wa michezo ya kompyuta. Michezo mingi inayochapishwa kutoka katika kampuni hii inahusisha sana mambo yaliyopo katika mji wa New York.
Rockstar Games, Inc ni kampuni ya Marekani inayojishughulisha na uchapishaji wa michezo ya kompyuta. Michezo mingi inayochapishwa kutoka katika kampuni hii inahusisha sana mambo yaliyopo katika mji wa New York.