Salim Ahmed Salim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili 1984 hadi tarehe 5 Novemba 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.