Santiago de Compostela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Santiago de Compostela ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Galicia, maarufu kama lengo la Njia ya Santiago kutokana na kanisa kuu la Mtume Yakobo.
Kwa ajili hiyo mji umo katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO.