TopaziFrom Wikipedia, the free encyclopedia Topazi ni madini ambayo kikemia fomula yake ni Al2SiO4(F,OH)2. Topazi. Ni kati ya madini magumu zaidi (8/10). Kutokana na ugumu na uangavu wake, pamoja na rangi zake mbalimbali, imetumika sana kama kito. Inatajwa na Biblia pia.
Topazi ni madini ambayo kikemia fomula yake ni Al2SiO4(F,OH)2. Topazi. Ni kati ya madini magumu zaidi (8/10). Kutokana na ugumu na uangavu wake, pamoja na rangi zake mbalimbali, imetumika sana kama kito. Inatajwa na Biblia pia.