Serbia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Serbia (kwa Kiserbokroatia: Република Србија au Republika Srbija) ni nchi ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Bože pravde Mungu wa haki | |||||
Mji mkuu | Belgrad 44°48′ N 20°28′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Belgrad | ||||
Lugha rasmi | Kiserbia kinachoandikwa kwa Mwandiko wa kikirili(1) | ||||
Serikali | Jamhuri Aleksandar Vučić Ana Brnabić | ||||
Kutokea kwa taifa la Serbia Kuzaliwa kwa taifa Uhuru kuanzishwa kwa Ufalme kutwaliwa na Dola la Uturuki Uasi wa kwanza Katiba ya kwanza Kutambuliwa na Mkutano wa Berlin Yugoslavia Serbia na Montenegro |
karne ya 8 1166 1077 1459 14 Februari 1804 15 Februari 1835 1878 1918 5 Juni 2006 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
88,361 km² (ya 113) 0.13 | ||||
Idadi ya watu - [[{{{population_estimate_year}}}]] kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
{{{population_estimate}}} ({{{population_estimate_rank}}}) 7,186,862 92.8/km² (ya 112) | ||||
Fedha | Dinari ya Serbia (2) (RSD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) {{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}}) | ||||
Intaneti TLD | .yu (.rs) (3) | ||||
Kodi ya simu | +381 (4) | ||||
1 Jimboni Vojvodina zifuatazo ni lugha rasmi kieneo: Kihungaria, Kislovakia, Kiromania, Kirusyn na Kikroatia. Katiba mpya imepanga pia kukubaliwa kwa mwandiko wa Kilatini kwa Kiserbia pamoja kikirili. Jimboni Kosovo lugha rasmi ni pia Kialbania na Kiingereza. 2 Euro hutumiwa jimboni Kosovo pamoja na dinar. 3 ".rs" ni rasmi tangu Septemba 2006 lakini anwani zenye ".yu" bado zinatumiwa. 4 pamoja na Montenegro hadi 2007. |
Funga
Imepakana na Hungaria, Bulgaria, Romania, Masedonia Kaskazini, Kosovo (au Albania), Montenegro, Bosnia na Herzegovina na Kroatia.
Mji mkuu ni Belgrad, wenye watu milioni 1,2.
Nchi ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatarajia kujiunga na Umoja wa Ulaya.