Alfabeti ya KilatiniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Alfabeti ya Kilatini (pia: Alfabeti ya Kirumi) ndiyo alfabeti inayotumiwa kwa lugha nyingi zaidi duniani. Hata Kiswahili siku hizi huandikwa kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano kwenye ukurasa huu wa Wikipedia. Nchi zinazotumia alfabeti ya Kilatini kwa lugha zao Kijani nyeupe: Nchi zinazotumia herufi za Kilatini pamoja na alfabeti za kienyeji
Alfabeti ya Kilatini (pia: Alfabeti ya Kirumi) ndiyo alfabeti inayotumiwa kwa lugha nyingi zaidi duniani. Hata Kiswahili siku hizi huandikwa kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano kwenye ukurasa huu wa Wikipedia. Nchi zinazotumia alfabeti ya Kilatini kwa lugha zao Kijani nyeupe: Nchi zinazotumia herufi za Kilatini pamoja na alfabeti za kienyeji