Alice Dunbar Nelson
Mwandishi mwenye asili mchanganyiko wa kiafrika na kimarekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Alice Dunbar Nelson (Julai 19, 1875 – Septemba 18, 1935) alikuwa mshairi, mwandishi wa habari na mwanaharakati wa kisiasa wa Marekani. Ni miongoni mwa uzao wa kwanza kwa waliozaliwa huru kusini mwa Marekani baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Alice Dunbar Nelson | |
Amezaliwa | Alice Dunbar Nelson 19 Julai 1875 Kusini mwa Marekani |
---|---|
Amekufa | 8 Septemba 1935 |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mshairi, Mwandishi wa habari na Mwanaharakati wa kisiasa Marekani |
Ndoa | Henry A. Callis |
Funga
Mume wake wa kwanza alikuwa mshairi Paul Laurence Dunbar. Baada ya kifo chake, aliolewa na "Henry A. Callis" na mwishoni kuolewa na Robert J. Nelson, mshairi na mwanaharakati wa haki za kibinadamu. Alipata umaarufu kama mshairi, mwandishi wa hadithi fupi, mwandikaji wa gazeti, mwanaharakati wa haki za wanawake na mhariri wa makusanyo mawili.