Alvaro Negredo
Mchezaji wa soka wa Hispania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Alvaro Negredo Sanchez (amezaliwa Madrid, Hispania, 20 Agosti 1985) ni Mhispania mchezaji wa soka katika timu ya Al Nasri ya Uarabuni.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Alvaro Negredo
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania |
Nchi anayoitumikia | Hispania |
Jina katika lugha mama | Álvaro Negredo Sánchez |
Jina halisi | Álvaro |
Jina la familia | Negredo |
Second family name in Spanish name | Sánchez |
Pseudonym | Tiburón |
Tarehe ya kuzaliwa | 20 Agosti 1985 |
Mahali alipozaliwa | Madrid |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2004 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Real Valladolid |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 7 |
Ameshiriki | UEFA Euro 2012 |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Funga
Alvaro Negredo Sanchez Kwa jina la utani Anaitwa La fiera de Vallecas yaani (Mnyama wa Vallecas). Alvaro Negredo Amechezea Rayo Vallecano, Real Madrid B, Almería, Real Madrid, Sevilla, Manchester City, Valencia, Middlesbrough, Beşiktaş na Sasa Al-Nasr. Katika misimu minane ya La Liga, alipata kucheza jumla ya mechi 264 huku akifunga mabao 112. Negredo alipata kucheza michezo 21 kwa timu ya Taifa ya Uhispania, akifunga mabao kumi, kati ya 2009 na 2013, na alikuwa sehemu ya timu ambayo ilishinda Euro 2012.