Anna Blässe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Anna Blässe (alizaliwa 27 Februari 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg. Hapo awali alikua akicheza katika klabu ya USV Jena pamoja na klabu ya Hamburger SV.[1]
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Anna Blässe
Jinsia | female |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani |
Nchi anayoitumikia | Ujerumani |
Jina halisi | Anna |
Tarehe ya Kuzaliwa | 27 Februari 1987 |
Mahali alipozaliwa | Weimar |
Mwenzi | Lara Dickenmann |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | forward |
Muda wa kazi | 2004 |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Tuzo iliyopokelewa | Fritz Walter Medal |
Funga
Alishinda mashindano kombe la dunia chini ya umri wa miaka 19 mnamo mwaka 2004 na mashindano ya Ulaya ya chini ya umri wa miaka 19 (U-19) mnamo mwaka 2006. [2]