AntiokiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Antiokia ya Siria (kwa Kituruki: Antakya) ni mji wa Uturuki, kwenye mto Oronte, karibu na Bahari ya Mediteranea na mipaka ya Syria. Antiokia leo. Antiokia Ni makao makuu ya wilaya ya Hatay na wakazi wake ni 139.000 (2001); ni muhimu sana kwa akiolojia.
Antiokia ya Siria (kwa Kituruki: Antakya) ni mji wa Uturuki, kwenye mto Oronte, karibu na Bahari ya Mediteranea na mipaka ya Syria. Antiokia leo. Antiokia Ni makao makuu ya wilaya ya Hatay na wakazi wake ni 139.000 (2001); ni muhimu sana kwa akiolojia.