Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey
Wimbo wa taifa wa Nigeria / From Wikipedia, the free encyclopedia
"Arise, O Compatriots" ni wimbo wa taifa wa Nigeria. Uliteuliwa mwaka 1978 badala ya "Nigeria, Tunakupongeza".[1]
Sauti yake ni mchanganyiko wa maneno na beti kutoka malango matano ya mashindano ndani ya nchi. Maneno yaliwekwa na bendi ya polisi wa Nigeria chini ya usimamizi wa Benedit P Ofiase (1934-20 13) maneno ya wimbo wa Taifa yaliwekwa na jumla ya watu watano P.O Aderibigbe, John A. Ilechukwu, Dr. Sota Omoigui, Eme tim Akpan and B.A. Ogunnaike