Atomu
kitengo kidogo cha kipengele cha kemikali / From Wikipedia, the free encyclopedia
Atomu au atomi (kutoka Kigiriki átomos yaani "isiyogawika") ni sehemu ndogo ya maada yenye tabia ya kikemia kama elementi. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomu.
Kuna aina nyingi za atomu na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na elementi zilizopo duniani.