Barkhad Abdi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Barkhad Abdi (alizaliwa Mogadishu, mkoa wa Banadir, Somalia, 1985) ni mwigizaji na mwongoza-sinema kutoka Somalia. Yeye alifanya uigizaji wake wa kwanza na muigizaji Tom Hank katika filamu ya Captain Phillips mwaka 2013. Yeye alipata umaarufu na heshima kwa filamu hii na hata alipata tuzo ya Muigizaji Bora katika uhusika wa usaidia kutoka Tuzo za Filamu za Chuo cha Briteni. Barkhad alipata kupendekezwa katikaTuzo za Chuo, Tuzo ya Duniani ya Dhahabu, na tunzo ya Chama cha Waigizaji wa Screen. Yeye alifanya uigizaji katika Eye in the Sky (2015), Good Time (2017) na Blade Runner 2049 (2017) pia. Barkhad ni maarufu kwa vipindi vya runinga kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga Castle Rock katika Hulu.