Waraka kwa Wagalatia
ya tisa kitabu Agano Jipya, mchanganyiko sita sura ya / From Wikipedia, the free encyclopedia
Barua kwa Wagalatia ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.
Maelezo zaidi Agano Jipya ...
Funga
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.