Bathurst Island (Nunavut)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bathurst Island (Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 16,042, ila hakina wakazi.