Bersant Celina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bersant Edvar Celina (alizaliwa 9 Septemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Kialbania wa Kosovo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Welisi Swansea na timu ya taifa ya Kosovo.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Bersant Celina
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Norwei |
Nchi anayoitumikia | Norwei, Kosovo |
Jina katika lugha mama | Bersant Celina |
Jina halisi | Bersant |
Jina la familia | Celina |
Tarehe ya Kuzaliwa | 9 Septemba 1996 |
Mahali alipozaliwa | Prizren |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kinorwei |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | forward, Kiungo |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Muda wa kazi | 2016 |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 59 |
Funga