Bottrop
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bottrop ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Emscher. Idadi ya wakazi wake ni takriban 117.241. Mji ulianzishwa 1092.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Bottrop | |||
| |||
Mahali pa mji wa Bottrop katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°31′0″N 6°55′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 117.241 | ||
Tovuti: www.bottrop.de |
Funga