BrandenburgFrom Wikipedia, the free encyclopedia Brandenburg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,6 kwenye eneo la 29 056 km². Mji mkuu ni Potsdam. Waziri mkuu ni Matthias Platzeck wa chama cha SPD anayesimamia serikali ya mseto. Frankfurt, Brandenburg Mahali pa Brandenburg katika Ujerumani bendera ya Brandenburg
Brandenburg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,6 kwenye eneo la 29 056 km². Mji mkuu ni Potsdam. Waziri mkuu ni Matthias Platzeck wa chama cha SPD anayesimamia serikali ya mseto. Frankfurt, Brandenburg Mahali pa Brandenburg katika Ujerumani bendera ya Brandenburg