César Franck
Mwalimu wa Ubelgiji-Kifaransa, mtunzi na mtunzi / From Wikipedia, the free encyclopedia
César Franck (10 Desemba 1822 - 8 Novemba 1890) alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji-Kijerumani aliyekuwa anaishi nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati wa watunzi maarufu wa kipindi cha romantiki. Alikuwa mpigaji kinanda wa Kanisa la Mtakatifu Clotilde la mjini Paris kwa zaidi ya miaka 30 na akawa anafundisha vijana wengi wenye vipaji vya muziki. Miziki yake iliyomingi ambayo ni maarufu zaidi, aliitunga akiwa tayari yungali mtu mzima.
'
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
César Franck | |
---|---|
![]() Cesar franck.jpg | |
Amezaliwa | 10 Desemba 1822 |
Amefariki | 8 Novemba 1890 |
Kazi yake | alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji |
Funga