Caoimhín Kelleher
From Wikipedia, the free encyclopedia
Caoimhín Odhrán Kelleher (alizaliwa katika kaunti ya Cork,[1] ambapo alihudhuria chuo cha Presentation Brothers.[2], 23 Novemba 1998) ni mchezaji wa kandanda kutoka nchi ya Eire (Ireland) ambaye anacheza kama golikipa wa Liverpool na timu ya taifa ya Jamhuri ya Eire.