Chow Yun-fat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Chow Yun-fat (kwa mila za Kichina huitwa: 周潤發; kwa Kichina kilichorahishwa huitwa: 周润发; pinyin: Zhōu Rùnfā; amezaliwa 18 Mei 1955) ni mwigizaji wa filamu kutoka Jamhuri ya watu wa China. Ni miongoni mwa waigizaji filamu maarufu sana katika bara la Asia na ni mmoja wa waigizaji wakubwa katika soko la filamu kisiwani Hong Kong.
Ukweli wa haraka Chow Yun-fat ...
Chow Yun-fat | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Chow Yun-fat |
Alizaliwa | 18 Mei 1955 |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1974 hadi leo |
Ndoa | On-on Yu (1983-1983)
Jasmine Chow (1986-) |
Funga
Fat mara nyingi huwa anacheza sana michezo ya kuigiza (mfululizo wa vipindi vya TV). Amewahi kushinda tuzo mara tatu ya kuwa kama mwigizaji bora wa filamu huko Hong Kong na mara mbili mjini Taiwan.