![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b2/Clara_Guthrie_d%2527Arcis.jpg/640px-Clara_Guthrie_d%2527Arcis.jpg&w=640&q=50)
Clara Guthrie d'Arcis
(1879-1937) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Clara Guthrie d’Arcis (New Orleans, Februari 22, 1879 - Geneva, Mei 12, 1937) alikuwa mwanaharakati wa amani wa Uswisi, mzaliwa wa nchini Marekani, mwanamke na mfanyabiashara wa kimataifa.
![Clara Guthrie d’Arcis](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b2/Clara_Guthrie_d%27Arcis.jpg/320px-Clara_Guthrie_d%27Arcis.jpg)
Alikuwa mwanzilishi na rais wa Umoja wa Wanawake Duniani kwa mapatano ya Kimataifa, [1] na mweka hazina wa kamati ya amani na Upokonyaji Silaha ya mashirika ya Kimataifa ya wanawake.[2]Aliwakilisha Uswizi katika Kongamano la 5 l la baraza la Kimataifa la wanawake. Kama raisi wa peace movement.
Clara Guthrie alijulikana sana kimataifa..[2]