Diego Velázquez
From Wikipedia, the free encyclopedia
Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.
Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.
Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.