Dispur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dispur ni jina la mji mkuu wa jimbo la Assam katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 1,750 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 53 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Dispur | |
Mahali pa mji wa Dispur katika Uhindi |
|
Majiranukta: 26°9′0″N 91°46′0″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Assam |
Wilaya | Kamrup |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,725 |
Funga