ElazığFrom Wikipedia, the free encyclopedia Elâzığ (Kikurdi: Elezîz) ni mji uliopo Mashariki ya Anatolia, nchini Uturuki na ndiyo kitako cha Jimbo la Elâzığ. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, idadi ya wakazi wa huko ilifikia 266,495. Mahala penye rangi nyekundu ndipo pa Elazığ.
Elâzığ (Kikurdi: Elezîz) ni mji uliopo Mashariki ya Anatolia, nchini Uturuki na ndiyo kitako cha Jimbo la Elâzığ. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, idadi ya wakazi wa huko ilifikia 266,495. Mahala penye rangi nyekundu ndipo pa Elazığ.