Erwin Schrödinger
From Wikipedia, the free encyclopedia
Erwin Schrödinger German pronunciation: [ˈɛrviːn ˈʃrøːdɪŋɐ] (12 Agosti 1887 – 4 Januari 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya kwanta.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/99/Erwin_Schrodinger2.jpg/220px-Erwin_Schrodinger2.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/320px-Tuzo_Nobel.png)
Mwaka wa 1933, pamoja na Paul Dirac alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Katika mwaka wa 1935, baada ya mawasiliano na rafikiye binafsi Albert Einstein, alipendekeza majaribio ya fikra ya Schrödinger's cat.