Eschweiler
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eschweiler (tamka: Eshvailer; Kijerumani cha kienyeji: Aischwiile) ni mji wa Kijerumani kando la mto Inde mwenye wakazi 60,000. Mji ni baina ya Köln na Aachen karibu na Uholanzi na Ubelgiji.