Familia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Familia (kutoka Kilatini "familia") ni kikundi cha watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja.
Kwa maana nyingine, tazama Familia (maana).